Kanuni zinazoongoza Manifesto ya Agile



Tunafuata kanuni hizi :

Kipaumbele chetu cha juu ni cha kuridhisha wateja
kupitia utoaji mapema na nakuendeleza
programu yenye thamana.

Kukubalisha mabadiliko ya mahitaji, hata katika sehemu iliyochelewa
ya utengenezaji. Taratibu za agile zinaunganisha mabadiliko kwa
ajili ya mteja kufaulu.

Kutoa programu inayofanya kazi kila wakati, kutoka
wiki kathaa hadi miezi michache, kwa
stahabu wa muda mfupi.

Wanabiashara na watengenezaji lazima wafanye kazi
pamoja kila siku katika mradi huo.

Kutengeneza miradi inayohusisha watu walio na motisha.
Kuwapa mazingira na msaada wanayohitaji,
na kuwaamini kuweza kumaliza kazi walizo nazo vyema.

Njia mwafaka ya
kuwasilisha taarifa ndani ya timu ya kuunda programu
ni mazungumzo ya uso kwa uso.

Programu inayofanya kazi ndicho kipimo msingi cha maendeleo.

Taratibu za Agile hukuuza maendeleo yanayostahimili.
Wadhamini, watengenezaji, na watumiaji wanapaswa kuwa na uwezo wa
kudumisha kasi ya mara kwa mara kwa muda usiojulikana.

Kuendeleza tahadhari katika ubora wa kiufundi
na ubunifui mzuri huongeza agility.

Unyofu - sanaa ya kuongeza kiasi
ya kazi ambayo haijafanyika - ni muhimu.

Usanifu bora, mahitaji, na miundo
huibuka kutoka katika timu inayojiandaa kibinafsi.

Katika vipindi vya kawaida, timu huwaza njia ya
kuwa na ufanisi zaidi, kisha inajipaniga
tabia yake ipasavyo.




Return to Manifesto